Swali: Swaa´ ya kinabii inalingana na kiasi gani katika vipimo vya leo?
Jibu: Baraza la Kibaar-ul-´Ulamaa wamejitahidi kukisia na wameleta vipimo vya zamani na vya sasa na hawakufikia katika chochote kwa njia ya kukata. Lakini wameafikiana juu ya kwamba ni takriban 3 kg. Fatwa inasema kuwa Swaa´ ya kinabii ni takriban 3 kg.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (28)
- Imechapishwa: 29/01/2022
Swali: Swaa´ ya kinabii inalingana na kiasi gani katika vipimo vya leo?
Jibu: Baraza la Kibaar-ul-´Ulamaa wamejitahidi kukisia na wameleta vipimo vya zamani na vya sasa na hawakufikia katika chochote kwa njia ya kukata. Lakini wameafikiana juu ya kwamba ni takriban 3 kg. Fatwa inasema kuwa Swaa´ ya kinabii ni takriban 3 kg.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (28)
Imechapishwa: 29/01/2022
https://firqatunnajia.com/pishi-ya-kinabii-hii-leo/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)