Swali: Hadiyth inasema:
“Mwenye kuapiwa kwa Allaah, basi na aridhike, na asiyeridhika hatokani na Allaah.”
Jibu: Hii ni Hadiyth isiyokuwa na neno, ni nzuri. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Mwenye kuapa kwa Allaah na aseme kweli. Mwenye kuapiwa kwa Allaah, basi na aridhike, na asiyeridhika hatokani na Allaah.”
Hii inatumika katika migogoro. Ikiwa kiapo kimeelekezwa kwake na mlalamikaji hana ushahidi, basi mpinzani akiapa atosheke na hukumu ya Allaah. Atawajibishwa siku ya Qiyaamah ikiwa anasema uwongo. Ikiwa atasema kuwa yuko na pesa 100, 1000 au zaidi na wewe huna ushahidi wowote isipokuwa kiapo. Mwenye kuapa ni lazima amche Allaah, na mwenye kuapiwa ni lazima aridhike na hukumu ya Allaah.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/29326/ما-صحة-حديث-من-حلف-له-بالله-فليرض
- Imechapishwa: 11/07/2025
Swali: Hadiyth inasema:
“Mwenye kuapiwa kwa Allaah, basi na aridhike, na asiyeridhika hatokani na Allaah.”
Jibu: Hii ni Hadiyth isiyokuwa na neno, ni nzuri. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:
“Mwenye kuapa kwa Allaah na aseme kweli. Mwenye kuapiwa kwa Allaah, basi na aridhike, na asiyeridhika hatokani na Allaah.”
Hii inatumika katika migogoro. Ikiwa kiapo kimeelekezwa kwake na mlalamikaji hana ushahidi, basi mpinzani akiapa atosheke na hukumu ya Allaah. Atawajibishwa siku ya Qiyaamah ikiwa anasema uwongo. Ikiwa atasema kuwa yuko na pesa 100, 1000 au zaidi na wewe huna ushahidi wowote isipokuwa kiapo. Mwenye kuapa ni lazima amche Allaah, na mwenye kuapiwa ni lazima aridhike na hukumu ya Allaah.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/29326/ما-صحة-حديث-من-حلف-له-بالله-فليرض
Imechapishwa: 11/07/2025
https://firqatunnajia.com/pindi-mtu-anakuapia-kwa-allaah/