Pindi fatwa za wanachuoni zinatofautiana


Swali: Mtu afanye nini wakati wa kutofautiana fatwa za wanachuoni?

Jibu: Atendee kazi yale yaliyosimama juu ya dalili. Pindi fatwa zinagongana basi atendee kazi ile fatwa iliyosimama juu ya dalili. Akiwa hajui dalili basi awaulize wanachuoni juu ya rai hizo na dalili zake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 20/11/2020