Swali: Baadhi ya waalimu katika somo la sayansi huwaamuru wanafunzi wachore viumbe vyenye roho kama kuku na ngamia?
Jibu: Hapana, kuchora hakujuzu kwa watoto wala kwa watu wazima. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amewalaani watengeneza picha, akawatishia watengeneza picha kwa Moto na akaeleza kuwa wao ndio watu wenye adhabu kali zaidi siku ya Qiyaamah. Kwa hiyo haijuzu kutengenza picha, si kwa wanafunzi wala kwa wasiokuwa wanafunzi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1435/حكم-تصوير-ذوات-الارواح-من-اجل-التعليم
- Imechapishwa: 19/12/2025
Swali: Baadhi ya waalimu katika somo la sayansi huwaamuru wanafunzi wachore viumbe vyenye roho kama kuku na ngamia?
Jibu: Hapana, kuchora hakujuzu kwa watoto wala kwa watu wazima. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amewalaani watengeneza picha, akawatishia watengeneza picha kwa Moto na akaeleza kuwa wao ndio watu wenye adhabu kali zaidi siku ya Qiyaamah. Kwa hiyo haijuzu kutengenza picha, si kwa wanafunzi wala kwa wasiokuwa wanafunzi.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1435/حكم-تصوير-ذوات-الارواح-من-اجل-التعليم
Imechapishwa: 19/12/2025
https://firqatunnajia.com/picha-zinafaa-kwa-wanafunzi-mashuleni/