Swali: Wale waliotengeneza picha za waja wema katika watu wa Nuuh katika Shari´ah yao ni kwamba picha ilikuwa sio haramu?
Jibu: Sijui kuhusu wao. Lakini ndio ilikuwa sababu ya kuwaingiza ndani ya shirki. Lakini Allaah ndiye mjuzi zaidi kusema kwamba Shari´ah yao ilikuwa inawajuzishia. Lakini kule Allaah kuwasema vibaya maana yake ni kwamba ilikuwa haijuzu. Aliwasimanga juu ya kitendo hicho, jambo ambalo linafahamisha kuwa wamekatazwa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24575/هل-كانت-التصاوير-محرمة-فيمن-كان-قبلنا
- Imechapishwa: 03/11/2024
Swali: Wale waliotengeneza picha za waja wema katika watu wa Nuuh katika Shari´ah yao ni kwamba picha ilikuwa sio haramu?
Jibu: Sijui kuhusu wao. Lakini ndio ilikuwa sababu ya kuwaingiza ndani ya shirki. Lakini Allaah ndiye mjuzi zaidi kusema kwamba Shari´ah yao ilikuwa inawajuzishia. Lakini kule Allaah kuwasema vibaya maana yake ni kwamba ilikuwa haijuzu. Aliwasimanga juu ya kitendo hicho, jambo ambalo linafahamisha kuwa wamekatazwa.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24575/هل-كانت-التصاوير-محرمة-فيمن-كان-قبلنا
Imechapishwa: 03/11/2024
https://firqatunnajia.com/picha-kwa-nyumati-zilizotangulia/