Pambana kwa ajili ya haki yako mahakamani

Swali: Katika nchi za makafiri mahakimu ni makafiri. Je, inafaa kuhukumiana katika mahakamana kama haya?

Jibu: Chukua haki yako. Ni sawa ukichukua haki yako pasi na kumdhulumu yeyote. Ama ukihukumiwa kwa kanuni zao kwa ajili ya kutaka kuwadhulumu haifai. Lakini ukichukua haki yako ya kishari´ah ni sawa. Usiiache haki yako ikapotea. Pambana kwa ajili ya haki yako ya kishari´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (50) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah%20Fiqh-06-05-1437.mp3
  • Imechapishwa: 15/03/2019