Swali: Je, ni sahihi kwamba ulipaji wa sunnah ya Fajr una namna mbili; moja kwa moja baada ya swalah na baada y kuchomoza kwa jua na hili ndio bora zaidi?
Jibu: Sahihi inafuta neno bora zaidi. Nikimaanisha kuwa njia zote mbili zinafaa.
Swali: Ni ipi dalili ya hilo la pili ya kwamba aicheleweshe mpaka wakati wa kuchomoza kwa jua?
Jibu: Ipo Hadiyth ambapo amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Ambaye atapitwa na Sunnah ya Fajr, basi aiswali baada ya kuchomoza kwa jua.”[1]
[1] at-Tirmidhiy (2361).
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 167
- Imechapishwa: 03/07/2022
Swali: Je, ni sahihi kwamba ulipaji wa sunnah ya Fajr una namna mbili; moja kwa moja baada ya swalah na baada y kuchomoza kwa jua na hili ndio bora zaidi?
Jibu: Sahihi inafuta neno bora zaidi. Nikimaanisha kuwa njia zote mbili zinafaa.
Swali: Ni ipi dalili ya hilo la pili ya kwamba aicheleweshe mpaka wakati wa kuchomoza kwa jua?
Jibu: Ipo Hadiyth ambapo amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Ambaye atapitwa na Sunnah ya Fajr, basi aiswali baada ya kuchomoza kwa jua.”[1]
[1] at-Tirmidhiy (2361).
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 167
Imechapishwa: 03/07/2022
https://firqatunnajia.com/njia-mbili-za-kulipa-sunnah-ya-fajr/