Swali: Mwenye kuswali akiwa na shaka kama amesujudu sijda mara moja au mbili katika Rak´ah miongoni mwa Rak´ah afanye nini?

Jibu: Ni wajibu kwake kufanya kile anachokitilia shaka na baada ya hapo ni wajibu kwake kusujudu sijda ya kusahau.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
  • Imechapishwa: 04/04/2018