Swali: Je, inajuzu kwa mwenye janaba kwenda kuswali swalah ya mkusanyiko msikitini akiwa na udhuru unaomzuia kutumia maji kwa ajili ya kuoga, kama vile ugonjwa au jeraha?
Jibu: Ikiwa kuna udhuru unaomzuia mtu kutumia maji kwa ajili ya twahara ndogo au kubwa, basi afanye Tayammum na kuswali swalah ya mkusanyiko msikitini.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/342)
- Imechapishwa: 22/11/2026
Swali: Je, inajuzu kwa mwenye janaba kwenda kuswali swalah ya mkusanyiko msikitini akiwa na udhuru unaomzuia kutumia maji kwa ajili ya kuoga, kama vile ugonjwa au jeraha?
Jibu: Ikiwa kuna udhuru unaomzuia mtu kutumia maji kwa ajili ya twahara ndogo au kubwa, basi afanye Tayammum na kuswali swalah ya mkusanyiko msikitini.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/342)
Imechapishwa: 22/11/2026
https://firqatunnajia.com/nikaswali-msikitini-baada-ya-kujitwaharisha-kwa-udongo/