Ni yapi maoni yenye nguvu kuhusu kumswalia asiyekuwepo?


Swali: Ni yapi maoni yenye nguvu kuhusu kumswalia maiti asiyekuwepo?

Jibu: Maoni yenye nguvu ni kuwa ni jambo halikuwekwa katika Shari´ah. Isipokuwa tu kwa wale ambao hawakumswalia. Haya ndio maoni yenye nguvu.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/149)
  • Imechapishwa: 15/09/2021