Swali: Swalah ya mwanamke siku ya ijumaa, khaswa Dhuhr, je, aswali kunapoadhiniwa adhaana ya kwanza au ya pili, aswali wakati wowote anaotaka au aswali pamoja na swalah ya ijumaa kupitia TV?
Jibu: Ni wajibu kwa mwanamke kuswali swalah ya Dhuhr siku ya ijumaa baada ya jua kupinduka, kama ilivyo siku nyingine zote.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/259)
- Imechapishwa: 23/02/2026
Swali: Swalah ya mwanamke siku ya ijumaa, khaswa Dhuhr, je, aswali kunapoadhiniwa adhaana ya kwanza au ya pili, aswali wakati wowote anaotaka au aswali pamoja na swalah ya ijumaa kupitia TV?
Jibu: Ni wajibu kwa mwanamke kuswali swalah ya Dhuhr siku ya ijumaa baada ya jua kupinduka, kama ilivyo siku nyingine zote.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/259)
Imechapishwa: 23/02/2026
https://firqatunnajia.com/ni-wakati-gani-mwanamke-anaswali-dhuhr-siku-ya-ijumaa/