629 – Shahykh wetu amesema: Kubadilisha rangi mvi kunapendekezwa.

Nikamuuliza: Ni kipi kinachogeuza kutoka kwenye wajibu kwa sababu amesema (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam):

“Badilisha hii”?

Jibu: Maswahabah walikuwa wakichelewesha kupaka rangi kwa sababu ya kushughulishwa. Labda hii ndiyo sababu hawakukimbilia kuzibadilisha.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 223
  • Imechapishwa: 15/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´