Swali: Kufuga ndevu ni wajibu au imependekezwa?
Jibu: Ni wajibu. Ni haramu kuzinyoa. Kuziachia ndevu ni wajibu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Ziacheni ndevu zikuwe.”
Ni haramu kuzinyoa. Haijuzu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (22) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsirayat-05-07-1435-01.mp3
- Imechapishwa: 19/06/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket