Swali: Je, inajuzu kwangu kufungisha ndoa pamoja na baba wa mke kupitia njia ya simu?
Jibu: Hapana, usifungishe kupitia njia ya simu. Ni lazima uhudhurie kwenye kikao cha ndoa na usikie uulizwaji swali na kukubali na kwa kuwepo mume, walii wa mwanamke na mashahidi kwenye kikao cha ndoa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (20) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2130
- Imechapishwa: 09/07/2020
Swali: Je, inajuzu kwangu kufungisha ndoa pamoja na baba wa mke kupitia njia ya simu?
Jibu: Hapana, usifungishe kupitia njia ya simu. Ni lazima uhudhurie kwenye kikao cha ndoa na usikie uulizwaji swali na kukubali na kwa kuwepo mume, walii wa mwanamke na mashahidi kwenye kikao cha ndoa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (20) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2130
Imechapishwa: 09/07/2020
https://firqatunnajia.com/ni-sawa-nifungishe-ndoa-kwa-njia-ya-simu/