Ni sawa kithawabu, na si kimatendo

Swali: Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu kulinganisha kufunga siku tatu kila mwezi ni sawa na kufunga mwaka mzima?

Jibu: Thawabu ni kwa kila wema kulipwa mara kumi, si kwa kulinganisha kazi ya kufunga.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 126
  • Imechapishwa: 03/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´