Swali: Je, inajuzu kuswali kwa kuvaa flana ikiwa sehemu kubwa ya mabega iko wazi?
Jibu: Kufunika mabega sio wajibu. Imaam Ahmad peke yake ndiye anaonelea hivo katika moja ya mapokezi yake. Vinginevyo sio wajibu. Muda wa kuwa amefunika viungo vyake vya siri sio lazima kwake kufunika mabega yake. Kikosi cha wanazuoni wengi wanaonelea tu kuwa ni jambo limependekezwa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (9) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340506.mp3
- Imechapishwa: 30/03/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket