Swali: Ni safari ipi inayoruhusu kuacha kufunga?
Jibu: Safari inayoruhusu kuacha kufunga na kufupisha swalah ni takriban kilomita 38,5. Wapo wanachuoni ambao hawakuweka mpaka wa safari. Wanaona kuwa kila ile ambayo katika desturi ya watu inazingatiwa kuwa safari ni safari. Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa pindi anaposafiri maili tatu anafupisha swalah.
Safari ya haramu haimruhusu mtu kufupisha swalah na kuacha kufunga. Safari ya maasi haistahiki ruhusa. Baadhi ya wanachuoni hawatofautishi kati ya safari ya maasi na safari ya utiifu kutokamana na ujumla wa dalili. Allaah ndiye mjuzi zaidi.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (19/132)
- Imechapishwa: 21/06/2017
Swali: Ni safari ipi inayoruhusu kuacha kufunga?
Jibu: Safari inayoruhusu kuacha kufunga na kufupisha swalah ni takriban kilomita 38,5. Wapo wanachuoni ambao hawakuweka mpaka wa safari. Wanaona kuwa kila ile ambayo katika desturi ya watu inazingatiwa kuwa safari ni safari. Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa pindi anaposafiri maili tatu anafupisha swalah.
Safari ya haramu haimruhusu mtu kufupisha swalah na kuacha kufunga. Safari ya maasi haistahiki ruhusa. Baadhi ya wanachuoni hawatofautishi kati ya safari ya maasi na safari ya utiifu kutokamana na ujumla wa dalili. Allaah ndiye mjuzi zaidi.
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (19/132)
Imechapishwa: 21/06/2017
https://firqatunnajia.com/ni-safari-ipi-inayoruhusu-kuacha-kufunga-na-kufupisha-swalah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)