Ni lini kidole kinatikishwa katika Tashahhud?

Swali: Ni wakati gani mtu anaanza kuashiria kidole cha shahaadah katika Tashahhud; wakati wa kuanza kusoma Tahiyyaat au wakati wa kusoma ”ash-Haduu an laa ilaaha illa Allaah”?

Jibu: Wakati wa Du´aa, wakati unapoanza kuomba au anapotajwa Allaah kwa mfano ”ash-Haduu an laa ilaaha illa Allaah” au ”Allaahumma-ghfirliy” na kadhalika.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-4-23.mp3
  • Imechapishwa: 06/11/2014