Ni lini inasomwa du´aa ya Isitkhaarah?

Swali: Vipi kuhusu ambaye amesema kuwa bora ni du´aa katika swalah ya Istikhaarah iwe kabla ya salamu kuliko baada ya salamu?

Jibu: Imekuja katika Hadiyth:

”… aswali Rak´ah mbili, kisha aseme… ”

Kwa hivyo du´aa inakuwa baada ya kuswali Rak´ah mbili.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25310/هل-يكون-دعاء-الاستخارة-قبل-السلام-ام-بعده
  • Imechapishwa: 27/02/2025