Swali: Ni lini inaanza Takbiyr ya ´Iyd? Ni ipi namna yake?
Jibu: Takbiyr ya ´Iyd inaanza ile siku ya mwisho ya Ramadhaan pale tu kunapozama jua mpaka pale imamu anapofika katika swalah ya ´Iyd. Namna yake ni kusema:
الله أكبر الله أكبر، لا إله إلا الله، والله أكبر، الله أكبر ولله الحمد،
“Allaah ni mkubwa! Hapana mwabudiwa wa haki isipokuwa Allaah! Allaah ni mkubwa! Allaah ni mkubwa na himdi zote anastahiki Allaah!”
Au aseme:
الله أكبر، الله أكبر، الله أكبر، لا إله إلا الله، والله أكبر، الله أكبر، الله أكبر، ولله الحمد،
“Allaah ni mkubwa! Allaah ni mkubwa! Allaah ni mkubwa! Hapana mwabudiwa wa haki isipokuwa Allaah! Allaah ni mkubwa! Allaah ni mkubwa! Allaah ni mkubwa na himdi zote anastahiki Allaah!”
Kwa msemo mwingine mtu anaweza kusema Takbiyr mara tatu au mara mbili. Zote zinafaa.
Inatakiwa kudhihirisha nembo hii na watu waiseme kwa sauti ya juu masokoni, misikitini na majumbani. Kuhusu wanawake bora kwao waiseme kimyakimya.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawa (16/259)
- Imechapishwa: 14/06/2018
Swali: Ni lini inaanza Takbiyr ya ´Iyd? Ni ipi namna yake?
Jibu: Takbiyr ya ´Iyd inaanza ile siku ya mwisho ya Ramadhaan pale tu kunapozama jua mpaka pale imamu anapofika katika swalah ya ´Iyd. Namna yake ni kusema:
الله أكبر الله أكبر، لا إله إلا الله، والله أكبر، الله أكبر ولله الحمد،
“Allaah ni mkubwa! Hapana mwabudiwa wa haki isipokuwa Allaah! Allaah ni mkubwa! Allaah ni mkubwa na himdi zote anastahiki Allaah!”
Au aseme:
الله أكبر، الله أكبر، الله أكبر، لا إله إلا الله، والله أكبر، الله أكبر، الله أكبر، ولله الحمد،
“Allaah ni mkubwa! Allaah ni mkubwa! Allaah ni mkubwa! Hapana mwabudiwa wa haki isipokuwa Allaah! Allaah ni mkubwa! Allaah ni mkubwa! Allaah ni mkubwa na himdi zote anastahiki Allaah!”
Kwa msemo mwingine mtu anaweza kusema Takbiyr mara tatu au mara mbili. Zote zinafaa.
Inatakiwa kudhihirisha nembo hii na watu waiseme kwa sauti ya juu masokoni, misikitini na majumbani. Kuhusu wanawake bora kwao waiseme kimyakimya.
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawa (16/259)
Imechapishwa: 14/06/2018
https://firqatunnajia.com/ni-lini-inaanza-takbiyr-ya-iyd-na-namna-yake/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)