Ni lazima mwanaume aliyeapa kutomkaribia mkewe kutoka nyumbani?

Swali 580: Je, ikiwa mwanaume ameapa kutokumkaribia mke wake, ni lazima atoke nyumbani?

Jibu: Sio lazima.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 203
  • Imechapishwa: 10/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´