Swali: Kutaja majina ya waendaji kinyume ya Kitabu na Sunnah ni katika Manhaj ya Salaf ili Waislamu watahadhari nao, je kufanya hivi ni katika Manhaj ya Salaf?
Jibu: Ikiwa watu wanadanganyika nao na wala hawawajui, na wewe umehakikisha ya kwamba wako na uendaji wa kinyume (Bid´ah). Ni lazima kutaja majina yao ili wasiwaaminie na kuchukua (elimu) kutoka kwao.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fat_Majid_21_05_1434.mp3
- Imechapishwa: 09/11/2014
Swali: Kutaja majina ya waendaji kinyume ya Kitabu na Sunnah ni katika Manhaj ya Salaf ili Waislamu watahadhari nao, je kufanya hivi ni katika Manhaj ya Salaf?
Jibu: Ikiwa watu wanadanganyika nao na wala hawawajui, na wewe umehakikisha ya kwamba wako na uendaji wa kinyume (Bid´ah). Ni lazima kutaja majina yao ili wasiwaaminie na kuchukua (elimu) kutoka kwao.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fat_Majid_21_05_1434.mp3
Imechapishwa: 09/11/2014
https://firqatunnajia.com/ni-lazima-kutaja-majina-ya-ahl-ul-bidah/