Swali: Ni jambo limewekwa katika Shari´ah kumpa mtoto jina siku ile ya kwanza anapozaliwa au ni lazima iwe katika siku ya saba pamoja na kufanyiwa ´Aqiyqah?
Jibu: Sio lazima iwe siku ya saba. Anaweza kumwita siku yoyote anayopenda. Hakuna neno. Anapozaliwa, baada ya kuzaliwa, siku ya saba na kadhalika.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-28-1-1435-01.mp3
- Imechapishwa: 06/10/2020
Swali: Ni jambo limewekwa katika Shari´ah kumpa mtoto jina siku ile ya kwanza anapozaliwa au ni lazima iwe katika siku ya saba pamoja na kufanyiwa ´Aqiyqah?
Jibu: Sio lazima iwe siku ya saba. Anaweza kumwita siku yoyote anayopenda. Hakuna neno. Anapozaliwa, baada ya kuzaliwa, siku ya saba na kadhalika.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-28-1-1435-01.mp3
Imechapishwa: 06/10/2020
https://firqatunnajia.com/ni-lazima-kumpa-mtoto-jina-ile-siku-ya-saba/