Ni lazima kukusudia kuondoa hadathi zote mbili

Swali 134: Ikiwa mtu atakusudia katika josho lake kuondoa janaba pekee. Je, anaweza kuswali?

Jibu: Sahihi ni kwamba ni lazima akusudie kuondoa hadathi mbili; ndogo na kubwa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 65
  • Imechapishwa: 26/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´