Ni lazima kuelekea Qiblah wakati wa kutawadha?

Swali 129: Vipi kuhusu kuelekea Qiblah wakati wa kutawadha?

Jibu: Sijui lolote kuhusu hilo, lakini akifanya basi ni jambo zuri.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 64
  • Imechapishwa: 25/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´