Swali: Ni kiwango kiasi gani kinachotolewa Zakaat-ul-Fitwr kwa kilo?
Jibu: Wanachuoni wamesema kuwa ni takriban kilo 3. Haya ndio waliyofikia baada ya masomo na ukaguzi. Wamefikia ya kwamba ni sawa takriban na kilo 3. Mtu akitoa kilo 3 basi amefanya lililo salama zaidi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/%205843
- Imechapishwa: 23/06/2017
Swali: Ni kiwango kiasi gani kinachotolewa Zakaat-ul-Fitwr kwa kilo?
Jibu: Wanachuoni wamesema kuwa ni takriban kilo 3. Haya ndio waliyofikia baada ya masomo na ukaguzi. Wamefikia ya kwamba ni sawa takriban na kilo 3. Mtu akitoa kilo 3 basi amefanya lililo salama zaidi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/%205843
Imechapishwa: 23/06/2017
https://firqatunnajia.com/ni-kilo-ngapi-zinazotolewa-zakaat-ul-fitwr/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket