Swali: Ni ipi hekima ya kubadili njia siku ya ´Iyd?
Jibu: Hekima vile ninavoona:
Mosi: Kumuiga Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hii ni Sunnah.
Pili: Miongoni mwa hekima vilevile ni kudhihirisha nembo ya swalah ya ´Iyd katika masoko yote yaliyoko katika mji.
Tatu: Miongoni mwa hekima vilevile ni kwamba mtu anapata kuwaona wale mafukara na wengine walioko kwenye masoko.
Nne: Miongoni mwa hekima vilevile ni kwamba njia mbili zitamshuhudia siku ya Qiyaamah.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawa (16/237)
- Imechapishwa: 14/06/2018
Swali: Ni ipi hekima ya kubadili njia siku ya ´Iyd?
Jibu: Hekima vile ninavoona:
Mosi: Kumuiga Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hii ni Sunnah.
Pili: Miongoni mwa hekima vilevile ni kudhihirisha nembo ya swalah ya ´Iyd katika masoko yote yaliyoko katika mji.
Tatu: Miongoni mwa hekima vilevile ni kwamba mtu anapata kuwaona wale mafukara na wengine walioko kwenye masoko.
Nne: Miongoni mwa hekima vilevile ni kwamba njia mbili zitamshuhudia siku ya Qiyaamah.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawa (16/237)
Imechapishwa: 14/06/2018
https://firqatunnajia.com/ni-ipi-hekima-ya-kubadili-njia-siku-ya-iyd/