Ni haramu kukata nywele kwa ambaye atachinja

Swali: Wako baadhi ya watu wanaosema kwamba kukata nywele katika yale masiku kumi ya mwanzo ni haramu. Je, hili ni sahihi?

Jibu: Ikiwa atachinja basi asikate nywele zake. Asikatekate na akapunguza. Hapa ni pale amenuia kuchinja. Vinginevyo hakuna neno. Ikiwa hatochinja hakuna ubaya kwake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/12286/%D8%AD%D9%83%D9%85-%D8%AA%D8%B3%D8%B1%D9%8A%D8%AD-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%B1%D8%A7%D8%A9-%D8%B4%D8%B9%D8%B1%D9%87%D8%A7-%D9%81%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D8%B9%D8%B4%D8%B1-%D8%A7%D9%84%D8%A7%D9%88%D8%A7%D9%89%D9%84-%D9%85%D9%86-%D8%B0%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D8%AD%D8%AC%D8%A9
  • Imechapishwa: 17/08/2018