Nguo kwa ngozi ya nguruwe

Swali: Je, inafaa kuvaa nguo zilizotengenezwa kwa ngozi ya nguruwe?

Jibu: Hapana, ngozi ya nguruwe ni najisi. Ni najisi yenyewe kama yenyewe na si kwamba ni najisi peke yake. Kuna tofauti kati ya najisi na kinachotia najisi. Ngozi ya nguruwe ni najisi yenyewe kama yenyewe.

Check Also

Msalaba kwenye kiatu

Swali: Inafaa kwangu kuvaa viatu vilivyo na msalaba? Jibu: Hapana. Haijuzu kuvaa msalaba, si mguuni …