Swali: Ndoto ya mwenye janaba?
Jibu: Inaweza kuwa sahihi hata kama atakuwa na janaba, inaweza kuwa ni katika wasiwasi wa shaytwaan, inaweza kuwa ni katika mazungumzo ya nafsi na inaweza kuwa sahihi ijapo yuko na janaba. Hata hivyo Sunnah kwake ni yeye kulala akiwa ametawadha.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24560/هل-تصح-الرويا-من-الجنب
- Imechapishwa: 01/11/2024
Swali: Ndoto ya mwenye janaba?
Jibu: Inaweza kuwa sahihi hata kama atakuwa na janaba, inaweza kuwa ni katika wasiwasi wa shaytwaan, inaweza kuwa ni katika mazungumzo ya nafsi na inaweza kuwa sahihi ijapo yuko na janaba. Hata hivyo Sunnah kwake ni yeye kulala akiwa ametawadha.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24560/هل-تصح-الرويا-من-الجنب
Imechapishwa: 01/11/2024
https://firqatunnajia.com/ndoto-ya-mwenye-janaba/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket