Swali 692: Kaka yake alimfungisha ndoa na baadaye baba yake na mwanamke akaafiki. Tufanye nini ikiwa tunataka kusahihisha ndoa hii huko baadaye?
Jibu: Mwanamke akifungishwa ndoa na kaka yake pasi na uwakala/idhini kutoka kwa baba yake, ndoa hiyo haisihi. Haijalishi kitu hata kama baadaye baba yake ataafiki. Ikiwa watataka kusahihisha ndoa hiyo basi baba yake mwenyewe ndiye amfungishe ndoa mpya au anaweza vilevile kuwakilisha mtu wa kumfungisha ndoa. Ni mamoja akamuwakilisha kaka yake au mwengine.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Ibraahiym Aalush-Shaykh
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 268
- Imechapishwa: 26/08/2019
Swali 692: Kaka yake alimfungisha ndoa na baadaye baba yake na mwanamke akaafiki. Tufanye nini ikiwa tunataka kusahihisha ndoa hii huko baadaye?
Jibu: Mwanamke akifungishwa ndoa na kaka yake pasi na uwakala/idhini kutoka kwa baba yake, ndoa hiyo haisihi. Haijalishi kitu hata kama baadaye baba yake ataafiki. Ikiwa watataka kusahihisha ndoa hiyo basi baba yake mwenyewe ndiye amfungishe ndoa mpya au anaweza vilevile kuwakilisha mtu wa kumfungisha ndoa. Ni mamoja akamuwakilisha kaka yake au mwengine.
Mhusika: Imaam Muhammad bin Ibraahiym Aalush-Shaykh
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 268
Imechapishwa: 26/08/2019
https://firqatunnajia.com/ndoa-ya-kaka-aliyemuozesha-dada-yake-bila-idhini-ya-baba/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)