Ndoa baada ya kutoka kwenye Ihraam ya kwanza

Swali 407: Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu kufunga ndoa baada ya kutoka kwenye Ihraam ya kwanza?

Jibu: Kuna mitazamo tofauti ya wanazuoni. Sahihi ni kwamba inafaa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 137
  • Imechapishwa: 21/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´