609 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu Hadiyth ya ´Ubayd bin Jurayj kutoka kwa Ibn ´Umar ambaye ameeleza kwamba alikuwa akitumia rangi ya manjano na alikuwa akisimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akifanya hivyo?

Jibu: Hili ni katika ndevu na kichwa, si katika nguo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 216
  • Imechapishwa: 12/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´