Nasaha za Ibn Baaz kwa aliye na zaidi ya mke mmoja

Mwanaume anapaswa kuwa na uvumilivu kwa wake zake katika kutatua matatizo, kwani vitimbi vya wanawake ni vikubwa. Yanayotokea kutoka kwao kwa sababu ya wivu ni mengi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 243
  • Imechapishwa: 27/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´