Swali: Kupangusa juu ya soksi za ngozi na soksi ndefu inakuwa kwa mbele na kwa nyuma au kwa mbele peke yake?

Jibu: Inakuwa kwa juu kuanzia mwanzoni mwa vidole mpaka kwenye muundi. Apitishe vidole vyake vilivyotoswa maji kuanzia mwanzoni mwa vidole vya mguuni mpaka kwenye muundi kwa juu ya kile kilichovaliwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ma´aalim Manhaj Ahl-is-Sunnah wal-Jamaa´ah, uk. 49
  • Imechapishwa: 06/06/2021