Swali: Mtu ambaye amewahi Rak´ah moja pamoja na imamu asome kwa sauti ya juu wakati wa kukamilisha?
Jibu: Ikiwa swalah ni ya kusoma kwa sauti ya juu na amewahi Rak´ah moja tu, hiyo ndiyo Rak´ah ya mwanzo wa swalah yake. Basi akisimama kukidhi, atasoma kwa sauti ya juu bila kuwasumbua waliomzunguka katika Rak´ah ya pili, kisha atasoma kwa siri katika ya tatu na ya nne. Kwa sababu swalah aliyopata mwanzo wake ni ile aliyopata pamoja na imamu, na anachokidhi ndicho mwisho wa swalah yake. Hivyo atasoma kwa sauti ya juu katika Rak´ah ya pili anayokidhi katika swalah ya ´Ishaa kwa mfano au Maghrib, kisha atakamilisha kwa kusoma kwa siri katika sehemu iliyobaki.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1224/كيفية-قضاء-من-ادرك-ركعة-في-الصلاة-الجهرية
- Imechapishwa: 08/02/2026
Swali: Mtu ambaye amewahi Rak´ah moja pamoja na imamu asome kwa sauti ya juu wakati wa kukamilisha?
Jibu: Ikiwa swalah ni ya kusoma kwa sauti ya juu na amewahi Rak´ah moja tu, hiyo ndiyo Rak´ah ya mwanzo wa swalah yake. Basi akisimama kukidhi, atasoma kwa sauti ya juu bila kuwasumbua waliomzunguka katika Rak´ah ya pili, kisha atasoma kwa siri katika ya tatu na ya nne. Kwa sababu swalah aliyopata mwanzo wake ni ile aliyopata pamoja na imamu, na anachokidhi ndicho mwisho wa swalah yake. Hivyo atasoma kwa sauti ya juu katika Rak´ah ya pili anayokidhi katika swalah ya ´Ishaa kwa mfano au Maghrib, kisha atakamilisha kwa kusoma kwa siri katika sehemu iliyobaki.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1224/كيفية-قضاء-من-ادرك-ركعة-في-الصلاة-الجهرية
Imechapishwa: 08/02/2026
https://firqatunnajia.com/namna-ya-kukamilisha-swalah-kwa-aliyewahi-rakah-moja-katika-swalah-ya-kusoma-kwa-sauti-ya-juu/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket