Swali: Mama yangu ni mzee sana na dhaifu. Eneo tunaloishi kuna baridi kali kiasi kwamba hawezi kutawadha, khaswa wakati wa swalah ya Fajr. Je, inajuzu kwake kufanya Tayammum? Anapofanya hivo huamini kwamba swalah yake haijakamilika na hivyo huirudia baada ya jua kuchomoza?
Jibu: Ni wajibu kutumia maji kwa ajili ya twahara wakati wa baridi ikiwa mtu ana kitu cha kupasha maji moto. Tayammum haisihi katika hali hii.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/340-341)
- Imechapishwa: 22/11/2026
Swali: Mama yangu ni mzee sana na dhaifu. Eneo tunaloishi kuna baridi kali kiasi kwamba hawezi kutawadha, khaswa wakati wa swalah ya Fajr. Je, inajuzu kwake kufanya Tayammum? Anapofanya hivo huamini kwamba swalah yake haijakamilika na hivyo huirudia baada ya jua kuchomoza?
Jibu: Ni wajibu kutumia maji kwa ajili ya twahara wakati wa baridi ikiwa mtu ana kitu cha kupasha maji moto. Tayammum haisihi katika hali hii.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/340-341)
Imechapishwa: 22/11/2026
https://firqatunnajia.com/mzee-anafanya-tayammum-kwa-ajili-ya-baridi-kali/