Swali: Kuna mwanamke aliweka nadhiri ya kufunga kila mwaka siku sita za Shawwaal. Hivi sasa amekuwa mtumzima na kufunga kunakuwa kugumu kwake. Je, alishe juu ya nadhiri yake au afanye kitu gani?
Jibu: Ikiwa hawezi atoe chakula. Ni kama mfano wa anavyofanya mzee mtumzima sana katika Ramadhaan. Ama akiwa anaweza basi ni lazima kutimiza nadhiri yake.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (11) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191491#219817
- Imechapishwa: 26/05/2019
Swali: Kuna mwanamke aliweka nadhiri ya kufunga kila mwaka siku sita za Shawwaal. Hivi sasa amekuwa mtumzima na kufunga kunakuwa kugumu kwake. Je, alishe juu ya nadhiri yake au afanye kitu gani?
Jibu: Ikiwa hawezi atoe chakula. Ni kama mfano wa anavyofanya mzee mtumzima sana katika Ramadhaan. Ama akiwa anaweza basi ni lazima kutimiza nadhiri yake.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (11) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191491#219817
Imechapishwa: 26/05/2019
https://firqatunnajia.com/mzee-aliweka-nadhiri-ya-kufunga-shawwaal-kila-mwaka/