Abu ´Umar bin Hayyuuyah amesema:

“Wakati alipoletwa al-Hallaaj ili auliwe basi nilijipenyesha ili nipate kumuona. Akawaambia wafuasi wake: “Msipatwe na woga! Mimi nitakurudilieni baada ya siku thelathini.”

Kisa hiki ni sahihi kinachokuwekea wazi kwamba al-Hallaaj alikuwa mwongo mpaka wakati wa kuuliwa kwake.

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Siyar A´laam-in-Nubalaa’ (14/346)
  • Imechapishwa: 30/10/2020