Mwenye shaka juu ya ukafiri wa Raafidhwah

Swali: Je, yule mwenye kuwa na shaka juu ya ukafiri wa Rawaafidhw naye ni kafiri?

Jibu: Mwenye kuwa na shaka juu ya ukafiri wa makafiri naye ni kafiri. Lakini hata hivyo inawezekana mtu akawa hajui hali yao. Katika hali hii anaweza kupewa udhuru. Pamoja na hivyo inatakiwa kumfunza na kumbainishia Shirki walionayo.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=4745
  • Imechapishwa: 01/05/2015