Swali: Ni ipi hukumu ya kuhudhuria sherehe ambazo kunafanywa Maulidi na kula katika chakula cha Maulidini? 64
Jibu: Kusherehekea Maulidi ni Bid´ah. Haijuzu kuhudhuria. Haijuzu kuhudhuria hafla za Maulidi wala kula chakula chake. Kwa kuwa huku ni kukubaliana nao na ni kushirikiana katika dhambi na uadui.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
- Imechapishwa: 26/06/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)