Swali: Je, mwenye janaba amuitikie muadhini au afanye Tayammum?

Jibu: Ni kama Adhkaar zilizosalia… amuitikie muadhini, kwa sababu ni katika kumtaja Allaah (´Azza wa Jall). Hata hivyo haifai kwake kusoma Qur-aan.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24748/هل-يجيب-الجنب-الموذن
  • Imechapishwa: 06/12/2024