Swali: Afanye nini ikiwa mtu ataamka akiwa na janaba na ana maji, lakini maji hayo hayatoshi kwa ajili ya kuoga bali yanatosha kwa ajili ya kutawadha tu na wakati wa swalah umefika?
Jibu: Ikiwa mwenye janaba hatapata maji ya kutosha kwa ajili ya kuoga, basi atawadhe kwa kutumia maji machache aliyoyapata, kisha afanye Tayammum kwa ajili ya janaba ikiwa muda wa swalah unakaribia kuisha. Asiicheleweshe swalah mpaka itoke katika wakati wake.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/338)
- Imechapishwa: 21/11/2026
Swali: Afanye nini ikiwa mtu ataamka akiwa na janaba na ana maji, lakini maji hayo hayatoshi kwa ajili ya kuoga bali yanatosha kwa ajili ya kutawadha tu na wakati wa swalah umefika?
Jibu: Ikiwa mwenye janaba hatapata maji ya kutosha kwa ajili ya kuoga, basi atawadhe kwa kutumia maji machache aliyoyapata, kisha afanye Tayammum kwa ajili ya janaba ikiwa muda wa swalah unakaribia kuisha. Asiicheleweshe swalah mpaka itoke katika wakati wake.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/338)
Imechapishwa: 21/11/2026
https://firqatunnajia.com/mwenye-janaba-anayo-maji-madogo-tu/