26 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu mwendawazimu anayeishi baina ya waislamu ambaye amebaleghe. Je, atajaribiwa au ataingia Peponi?

Jibu: Jibu linalowezekana zaidi – na Allaah ndiye anayejua zaidi – ni kwamba muda wa kuwa amepata wazimu kabla ya baleghe basi huyo ni katika wale watoto watakaokuwa Peponi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 36
  • Imechapishwa: 25/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´