Swali 315: Vipi kuhusu wasia wa maiti aswaliwe na fulani?

Shaykh wetu akanyamaza kwa muda mrefu… kisha akasema: kinachohihiri kwangu ni kwamba imamu ndiye mwenye haki zaidi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 111
  • Imechapishwa: 24/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´