Mwanaume kutibiwa na mwanamke na kinyume chake

Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke kumfunulia viungo vyake vya siri mwanaume wakati wa hitajio la matibabu? Ni ipi hukumu ya mwanaume kumfunulia viungo vyake vya siri mwanamke wakati wa hali hiyohiyo? Je, ni bora kutibiwa na daktari wa kinaswara au daktari wa kiumbe muislamu?

Jibu: Hapana vibaya kwa mwanamke mwanamke kumfunulia viungo vyake vya siri mwanaume, na kinyume chake, wakati wa hitajio la matibabu kwa kutumia masharti mawili:

1 – Kuwepo na uhakika wa kutotokea fitina.

2 – Matibabu yasifanyike faragha.

Ni bora kutibiwa na daktari mwaminifu wa kinaswara kuliko kutibiwa na daktari wa kiume ambaye ni muislamu, kwa sababu jinsia yao ni moja.

  • Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/268-269)
  • Imechapishwa: 03/04/2026