wazSwali: Ipi hukumu ya kutia wanja? Na je, imethibiti kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ya kwamba alikuwa anaweka wanja machoni mwake?
Jibu: Kutia wanja ni Sunnah. Na imethibiti ya kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anatia wanja machoni mwake. Ni Sunnah.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Nuur ´alaad-Darb
- Imechapishwa: 17/03/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
08. Hadiyth “Mtume alikuwa akipaka wanja… “
Haafidhw Ibn Hajar al-´Asqalaaniy (Rahimahu Allaah) amesema: 687- ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) amesema: “Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akipaka wanja ilihali amefunga katika Ramadhaan.”[1] Ameipokea Ibn Maajah kwa cheni ya wapokezi nyonge. at-Tirmidhiy amesema: “Hakukusihi kitu juu ya maudhui haya.” MAELEZO Inafaa kwa mfungaji kupaka wanja na kutia…
In "Mlango wa funga kutoka katika "ash-Sharh al-Mukhtaswar ´alaa Buluugh-il-Maraam""
80. Mambo ambayo hayamfunguzi mfungaji
Mfungaji hafungui kwa kupaka wanja au dawa za machoni hata kama atahisi ladha yake kooni mwake. Kwa sababu mambo hayo sio kula, kunywa wala hayana maana ya viwili hivyo. Vilevile hafungui kwa kuweka ndani ya sikio lake, wala hafungui kwa kuweka dawa kwenye kidonda hata kama atahisi ladha ya dawa…
In "Majaalis Shahr Ramadhwaan - Ibn ´Uthaymiyn"
Je, inafaa mwanamke kujipamba kwa kutia wanja kwenye macho yake?
Swali: Je, inafaa mwanamke kujipamba kwa kutia wanja kwenye macho yake? Jibu: Inafaa kwa mwanamke kujipamba kwa kuweka wanja machoni mwake akiwa kati ya wanawake, mbele ya mume na Mahaarim zake. Akiwa mbele ya wanamme wa kando haijuzu kwake kufunua uso wake wala macho yake yaliyotiwa wanja. Amesema (Subhaanah): وَإِذَا…
In "Mambo yanayohusiana na huduma ya macho"