Swali: Je, inajuzu kwa mwanaume kupaka wanja?
Jibu: Ndio, inajuzu kufanya hivo. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akifanya hivo wakati wa kulala.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/189)
- Imechapishwa: 29/10/2026
Swali: Je, inajuzu kwa mwanaume kupaka wanja?
Jibu: Ndio, inajuzu kufanya hivo. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akifanya hivo wakati wa kulala.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/189)
Imechapishwa: 29/10/2026
https://firqatunnajia.com/mwanaume-kupaka-wanja/