Swali: Je, inajuzu kunyoa nywele za kifuani?

Jibu: Inajuzu kuziondoa kwa njia yoyote inayofaa, maadamu kuondoa kwake hakusababishi madhara kwa mwili.

  • Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/197)
  • Imechapishwa: 29/10/2026