Swali 8701: Ni ipi hukumu ya Uislamu kuhusu kung’oa nywele zilizo baina ya nyusi mbili?

Jibu: Inajuzu kuzinyonyoa, kwa sababu si sehemu ya nyusi.

  • Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/197)
  • Imechapishwa: 29/10/2026